COME AND SEE ANIMATED HEADER

WIMBO WA UPENDO NKONE WA HALELUYA AKIWA COLUMBUS U.S.A

Friday, December 7, 2018

MKESHA MKUBWA WA CHRISTMAS

Kanisa la Neno Uponyaji na Urejesho Pugu lina kuletea mkesha mkubwa wa Christmas Unaotarajiwa kufanyika usiku wa tarehe 24 December 2018 kuanzia saa 3 Usiku hagi majogoo.
Mchungaji wa kanisa hilo Pastor Emmanuel Ezekiel. Amesema mkesha huo ni kati ya mikesha mikubwa ambayo haijawahi kufanyika eneo la Pugu.

Amewaomba wakazi wa Pugu na maeneo mengine kujitokeza kwa wingi katika mkesha huo.
Chai na vitafunio vitatolewa bure mkeshani.
 Mkesha huo unatarawa kupambwa na waimbaji wengi wa muziki wa injili Tz.

No comments:

Post a Comment

LINKWITHIN

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...