COME AND SEE ANIMATED HEADER

WIMBO WA UPENDO NKONE WA HALELUYA AKIWA COLUMBUS U.S.A

Friday, December 7, 2018

MKESHA MKUBWA WA CHRISTMAS

Kanisa la Neno Uponyaji na Urejesho Pugu lina kuletea mkesha mkubwa wa Christmas Unaotarajiwa kufanyika usiku wa tarehe 24 December 2018 kuanzia saa 3 Usiku hagi majogoo.
Mchungaji wa kanisa hilo Pastor Emmanuel Ezekiel. Amesema mkesha huo ni kati ya mikesha mikubwa ambayo haijawahi kufanyika eneo la Pugu.

Amewaomba wakazi wa Pugu na maeneo mengine kujitokeza kwa wingi katika mkesha huo.
Chai na vitafunio vitatolewa bure mkeshani.
 Mkesha huo unatarawa kupambwa na waimbaji wengi wa muziki wa injili Tz.

Wednesday, September 11, 2013

KATIBU KWENYE SEMINA KUBWA YA WAIMBAJI NA WAPIGAJI WA VYOMBO KATIKA MUZIKI WA INJILI KUTOKA KATIKA MAKANISA MBALIMBALI DAR ES SALAAM TAREHE21/09/2013 KATIKA UKUMBI WA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI. CHAI YA ASUBUHI ITATOLEWA BURE KWA WOTE

Tuesday, March 19, 2013

GOSPEL IN AFRICA: Africori director Mr. Kenan Zim to Sign Online Dea...

GOSPEL IN AFRICA: Africori director Mr. Kenan Zim to Sign Online Dea...:                                                                 Africori Boss Mr. Yoel Kenan FORMER Europe Sony Records vice p...

Monday, March 4, 2013

KARIBU KWEYE TAMASHA LA KIHISTORIA LILOWAKUSANYA WAIMBAJI WAKONGWE WA ZAMANI TAREHE 17/3/2013 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE



 lile tamasha la kihistori ambalo limewakusanya waimbaji binafsi , kwaya na Band kongwe sasa zimebakia wiki mbili kuweza kufanyika ni tarehe 17/3/2013 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa 7:00 mchana hadi saa 12:00 jioni , watu  na wadau wa muziki wa injili wanaombwa waipitwe na tukio jili muhimu wajitokeze kwa wingi kuwapa ushirikiano waimbaji wetu wa zamani. Come and see promoters inawaomba wale wote wenye blog zao kuweza kusaidia kulitangaza Tamasha hili ili watanzania na wadau wa muziki wa injili wasipitwe na tukio hili muhimu.






N
 NEW LIFE BAND MOJA YA KUNDI KONGWE LITAKALO IMBA KWENYE TAMASHA
M
MFANO WA TUZO ITAKATOTOLEWA KWA WAKONGWE WA MUZIKI WA INJILI
GOGE JABILI KIONGOZI WA LULU KWAYA ATAONGOZA SAFU YA KWAYA YAKE

M 

MARTINI UBWE MOJA YA MASOUND ENGINER WA TAMASHA

Monday, February 25, 2013

WAIMBAJI WAKONGWE WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA WAJIPANGA WAINGIA KAMBINI


Waimbaji wa muziki wa injili Tanzania Charles Jangarasoni, Mzungu four, Masaga nyanda,Efrahimu mwasasu sasa waingia kambini kujifua kwajili ya Tamasha kubwa la wakongwe wamuziki wa injili Tazania , wakiongea kwa nyakati tofauti na mratibu wa Tamasha hili Bwana Emmanuel Ezekiel, Wamesema kuwa Mungu atashuka siku hiyo kwa kuwa wameanza maombi ya kufunga na kuomba kwajili ya kuliombea Tamasha hili la kipekee, Na wameahidi kuwa watanzania watarajie vitu vya tofauti ambavyo walikuwa wamevimisi kutoka kwako.Tamasha litazinduliwa rasmi tarehe 17/3/2013 katika ukumbi wa diamond jubilee.Mara baada ya uzinduzi wa tamasha hili litaelekea mkoa wa Arusha , Mwanza, Mbeya Iringa Dodoma, Singida,Kigoma, Tabora na Mtwara na litakuwa likifanyika kila mwaka likijumuisha wakongwe pekee wa muziki wa injili Tanzania.


Askofu Charles Jangarasoni mmoja ya waimbaji watakohudumu

Nathaniel Hingi toka Moshii

Mchungaji Mzungu Four

Askofu Jangarason

Mchungaji Ency Mwalukasa

Pastor Safari

MUIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI UPENDO KIRAHILO NA AMONI KILAHILO SASA KUSHILIKI KATIKA TAMASHA KUBWA LA WAKONGWE WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA

Jumapili hii mratibu mkuu na muandaaji wa Tamasha la Wakongwe wa muziki wa injili Tanzania bwana Emmanuel Ezekiel ( Pastor Pepea ), alifanya kikao kikubwa na Amoni na Upendo kirahilo jumapili hii na kukubali kushiliki katika Tamasha kubwa la kuwaenzi wakongwe wa muziki wa injili Tanzania. Amoni na Upendo kirahilo ni moja ya waimbaji wakongwe watakao lishambulia jukwaa la Tamasha la wakongwe wa muziki wa injili Tanzani. Tamasha hili linatarajia kufanyika tarehe 17 March 2013 katika ukumbi mkubwa wa Diamond Jubilee kunzia saa 8:00 mchana hadin saa  12:00jioni.Katika Tamasha hili kunatarijiwa kutolewa tuzo za heshima ili kutambua mchango wao mkubwa walioutoa katika kuinua na kuendeleza muziki wa injili Tanzania.Upendo na Amoni kirahilo wamewaomba watanzania wote, wadau wa muziki wa injili kujitokeza kwa wingi ili kushuhudia kile ambacho wakongwe wa muziki wa injili wamekiandaa kwajili yao.

 
UPENDO KIRAHILO

Upendokirahilo katika moja ya huduma zake.

Upendo kirahilo

Upendo Kirahilo

Upendo Kirahilo

Upendo kirahilo katika moja ya huduma zake.

Upendo kirahilo ameahidi kufanya onyesho la nguvu na kudhihilisha kuwa yeye ni mkongwe katika muziki wa injili. Upendo alianza kuimba akiwa bado ni binti mdogo, amewataka waimbaji wachanga kuja kujifunza kutoka kwa wakongwe wa muziki wa injili kama wanataka kuendelea kufanya vizuri katika mziki wao na kudumu kwa mda mrefu.


Saturday, February 23, 2013

TAMASHA LA WAKONGWE WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA MAANDALIZI YAPAMBA MOTO

Kampuni ya COME AND SEE PROMOTERS imeandaa Tamasha kubwa la wakongwe wa muziki wa injili Tanzania kwa lengo la kutambua mchango mkubwa ambao wameutoa waimbaji hawa wazamani wa muziki wa injili katika kuinua na kuendeleza mziki wa injili Tanzania. Akiongea kwa nyakati tofauti mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Come and see Promoters bwana Emmanuel Ezekiel ( Pastor Pepea ) Amesema hili ni tamasha la kihistori ambapo halijawahi kutokea katika nchi yetu ambapo waimbaji wote wakongwe wa mziki wa injili kukutana katika jukwaa moja.Tamasha hili limepewa jina la OLD IS GOLD DAY linatarajia kufanyika tarehe 17/3/2013 katika ukumbi mtulivu wa Diamond Jubilee kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 12:00 jioni  na kukusanya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikari,viongozi wa dini, waandishi wa habali nk.
Tamasha hili litaambatana na utoaji wa Tuzo za heshima kwa waimbaji hawa wakongwe ili kutambua mchago wao katika kuinua na kuendeleza wa injili Tanzania. Waimbaji wakongwe wa mziki wa injili watakaoshambulia jukwaa ni MZUNGU FOUR, JANGARASONI, MASAGA NYANDA,DAVIDI NKONE, NATHANIEL HINGI, MWASASU, MWASUMBI, ENCY MWALUKASA, AMON NA UPENDO KIRAHIRO, NEW LIFE BAND TOKA ARUSHA, na kwa upande wa kwa ya ni LULU KWAYA NAYOTH KWAYA ,VICTORY SINGERS , MSASANI KWAYA NK na kusindikizwa na JOSHUA MLERWA. 












Kampuni ya Come and see Promoters inawaomba watanzania wote kujitokeza kwa wingi kuwaenzi waimbaji wetu wakongwe ambao wengi wao ni wachungaji kwa sasa.

LINKWITHIN

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...